Utitiri wa bandari kavu Dar unavyochochea kero ya foleni
Dar es Salaam. Fikiria unatoka katikati ya jiji la Dar es Salaam, labda umetoka kazini au una shughuli zako binafsi, umechoka na unahitaji kufika nyumbani Mbagala. Unapita Barabara ya Kilwa ukiwa na matumaini kwamba leo mambo yatakuwa nafuu, lakini safari inaanza kwa majaribu. …