SUA YAKUTANA NA BALOZI WA CUBA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA ARTEMISA
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimekutana na Balozi wa Cuba nchini Tanzania kwa lengo la kujadili na kuimarisha ushirikiano kati ya SUA na Chuo Kikuu cha Artemisa cha Jamhuri ya Cuba. Ushirikiano huo unalenga kutekeleza miradi na tafiti mbalimbali, hususan zinazohusiana na maendeleo ya sekta ya kilimo ndani na nje ya Tanzania. Akizungumza…