Mwelekeo mpya wa huduma za malezi na makuzi mkoani Mbeya
Dar es Salaam. Safari ya utekelezaji wa Mpango wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM) mkoani Mbeya inaendelea kuwa mfano bora wa namna takwimu, ushirikiano na ufuatiliaji wa karibu vinavyoweza kuleta mageuzi makubwa katika hatua za awali za maisha ya mtoto. Desemba 2, 2025, Pact Tanzania iliandaa hafla ya tathmini ya mkoa…