Polisi yaipiga ‘stop’ Bawacha Mei 8 Mara, Chadema yajibu mapigo
Musoma. Polisi Mkoa wa Mara imezuia maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoratibiwa na Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) yaliyotarajiwa kufanyika Mjini Musoma mkoani humo Machi 8, 2026. Mkutano huo ilikuwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kitaifa Bawacha walipanga kuadhimisha mjini Musoma mkoani Mara. Akizungumzia shughuli hiyo…