ONGEA NA AUNT BETTIE: Hataki nijishughulishe na kwetu hatoi huduma

Mume wangu ananikataza kufanya biashara ilihali hanitimizii mahitaji yangu na ya familia yangu. Yeye anasaidia kwao kadri Mungu anavyomjalia, ila mimi hanipi msaada wa moja kwa moja kwetu ndiyo maana nataka kufanya biashara. Ila ananikataza kiasi anaona amekuwa kikwazo cha kuisaidia familia yangu ambapo nilikuwa nikifanya hivyo kabla hajanioa. Nafikiria kuachana naye, kabla sijafanya hivyo…

Read More

Mambo sita mwanao anayohitaji kuyasikia

Dodoma. Watoto wadogo ni watu kamili wenye hisia kama sisi watu wazima. Hata kama wakati mwingine hawawezi kusema wazi wazi, ukweli ni kwamba akili zao ni kama dodoki linalonyonya kimya kimya yale wanayoona tukiyasema na kuyatenda. Unaweza, kwa mfano, kusema jambo dogo kwa mtoto tena bila kumaanisha lakini jambo hilo likawa sumu itakayoharibu kabisa maisha…

Read More

Tofauti za kihisia kati ya wanawake na wanaume

Dar es Salaam. Mijadala kuhusu tofauti kati ya wanawake na wanaume imekuwepo kwa muda mrefu, lakini mijadala inayohusu hisia na mawasiliano imekuwa nyeti zaidi kwa sababu inagusa maisha ya kila siku kama ndoa, uhusiano wa kimapenzi, familia na hata sehemu za kazi. Mara nyingi migogoro hutokea si kwa sababu ya kukosa upendo au heshima, bali…

Read More

China yatoa wito wa kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeeleza wasiwasi wake kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran na kutoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano, ikizitaka pande zote kuepuka kuongezeka kwa mvutano na kurejea kwenye mazungumzo na majadiliano. Kwa mujibu wa Reuters, katika taarifa iliyotolewa Jumamosi, Februari 28, 2026, wizara hiyo ilieleza…

Read More

NYAVU HARAMU ZANASWA CHATO, WAZIRI ATOA MAELEKEZO.

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza azma ya kuanzisha chombo maalum kitakachosimamia rasilimali za uvuvi, lengo likiwa ni kulinda mazao yanayotokana na Ziwa Victoria dhidi ya uharibifu. Hatua hii imekuja baada ya wataalamu wa wizara hiyo waliopelekwa wilayani Chato kutoa elimu kwa vitendo, kubaini kuwepo kwa wimbi kubwa la uvuvi haramu katika eneo…

Read More

Msifanye ndoa zenu kuwa maabara

Canada. Neno maabara si geni masikioni mwa wengi. Ni mahali pa majaribio, pa kupima nadharia, kutengeneza nyenzo na kuthibitisha uhalali wa jambo kabla halijapelekwa kwenye matumizi halisi. Mara nyingi, maabara huanzishwa kwa lengo maalumu; zikishatimiza kusudi au zikishindwa kufikia malengo, hufungwa. Ni katika taasisi za kisayansi pekee ambapo maabara huendelea kuwapo kwa sababu ya asili…

Read More

Haya ndio madhara ya kukacha mikutano ya shule

Dar es Salaam. Wazazi waliobahatika kuuanza mwaka 2026 wakiwa na watoto katika hatua mbalimbali za masomo, mnapaswa kutambua kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko chanya katika ushiriki wenu, hususan katika masuala yanayohusu elimu ya watoto wenu. Ni mwaka unaopaswa kuwa wa kujitathmini na kubadili mtazamo kuhusu wajibu wa mzazi katika safari ya elimu ya mtoto….

Read More