Usikubali kupoteza mwelekeo, elekeza moyo kwa Yesu

Bwana Yesu asifiwe, karibu katika tafakari ya neno la Mungu. Ninaitwa Mwalimu Erasto Maliganya kutoka mkoani Mbeya. Somo la leo ni mwendelezo wa somo lililopita ambalo lilikuwa linasema; ‘Kwa neno lako nitazishusha nyavu’. Katika injili ya Mathayo 9:20–22 tunaona habari ya mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Hali yake…

Read More

Majanga ya kuishi na mwenza haambiliki

Kuishi na mwenza asiyeambilika ni changamoto kubwa, inayoweza kuleta mgogoro na usumbufu katika ndoa au uhusiano. Katika maisha ya ndoa, wanandoa wanategemea na kutegemeana kwa kiasi kikubwa, lakini wakati mwingine mmoja au wote wawili wanakutana na hali ambazo hazitarajiwi.  Mmoja anaweza kuwa na tabia au mienendo ambayo inakuwa vigumu kubadilika au kukubaliana nayo, na hii…

Read More

Hataki nijishughulishe na kwetu hatoi huduma

Mume wangu ananikataza kufanya biashara ilihali hanitimizii mahitaji yangu na ya familia yangu. Yeye anasaidia kwao kadri Mungu anavyomjalia, ila mimi hanipi msaada wa moja kwa moja kwetu ndiyo maana nataka kufanya biashara. Ila ananikataza kiasi anaona amekuwa kikwazo cha kuisaidia familia yangu ambapo nilikuwa nikifanya hivyo kabla hajanioa. Nafikiria kuachana naye, kabla sijafanya hivyo…

Read More

AIR TANZANIA YASITISHA SAFARI ZA DUBAI

::::::::::: Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL), imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za kwenda na kutoka Dubai, kutokana na kufungwa kwa anga la Mashariki ya Kati.  Katika taarifa kwa wateja iliyotolewa leo Februari 28, 2026, kampuni hiyo imesema imesitisha safari hizo hadi itakapotolewa taarifa nyingine na kwamba inaendelea kufuatilia kwa karibu hali ilivyo na…

Read More

MAAFISA USHIRIKA WATAKIWA KUWA VINARA WA MAFANIKIO NCHINI.

Maafisa Ushirika wa vyama vya ushirika nchini wametakiwa kutumia ipasavyo elimu na maarifa waliyoyapata katika mafunzo maalum ili kuwa chachu ya mafanikio, uwajibikaji na maendeleo endelevu ndani ya vyama vya ushirika. Akifunga rasmi mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea uwezo maafisa hao katika masuala ya usimamizi wa vyama, Mrajisi Msaidizi anayeshughulikia Uhamasishaji, Masoko na Uwekezaji…

Read More