Kardinali Pengo alivyoumaliza mwendo, kauli za viongozi
Dar es Salaam. Ameumaliza mwendo. Ndivyo inavyoweza kuelezwa hitimisho la safari ya mwisho ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika maziko yake yaliyokusanya maelfu ya waombolezaji, wakiwemo viongozi wa kitaifa na wa kidini pamoja na wananchi wa kada mbalimbali. Shughuli hizo zilianza kwa misa takatifu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es…