‘Miradi ya miundombinu ikamilike wa wakati’

Morogoro. Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Dunstan Kyobya, ametaka miradi ya miundombinu kukamilika kwa wakati ili kuepusha wananchi kukwama kwenye shughuli zao za kiuchumi. Jana Ijumaa, Februari 26, 2026 akiwa katika ziara ya kukagua hali ya barabara na madaraja, Kyobya amemuagiza mkandarasi anayejenga Daraja la Mto Mfuji lililopo…

Read More

Chuo cha Aga Khan chatoa mafunzo ya malezi bora kwa watoto

Arusha. Katika kuimarisha malezi na makuzi bora kwa watoto, Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU) kimeendesha programu maalumu za kuwajengea uwezo wadau mbalimbali, wakiwamo wawakilishi wa asasi za kiraia zinazojihusisha na maendeleo ya awali ya mtoto. Mradi huo wa mafunzo kuhusu sayansi ya malezi na makuzi ya maendeleo ya awali ya watoto umefanyika leo, Jumamosi,…

Read More

Ofisa Nida ashinda kesi ya kufukuzwa kazi

Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imempa ushindi wa aliyekuwa Ofisa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Njiti Manyumba dhidi ya mwajiri wake baada ya mabishano makali ya kisheria. Uamuzi huo umetolewa Februari 27, 2026 na Jaji Elizabeth Mkwizu wakati akitoa uamuzi kuhusiana na maombi ya Manyumba kuongezewa muda…

Read More

Tanzania kurejesha hekta milioni 5.2 mwaka 2030

Arusha. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imejipanga kurejesha hekta milioni 5.2 za ardhi iliyoharibika ifikapo mwaka 2030, kama sehemu ya jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuboresha uhifadhi. Lengo ni kurejesha uoto wa asili katika maeneo mbalimbali yaliyopoteza misitu ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, kuimarisha biaonuwai na kuboresha maisha ya…

Read More

BOT yahamasisha kampeni ya malipo kidijitali

Kigoma. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeongeza kasi ya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya mifumo ya malipo ya kidijitali badala ya fedha taslimu, ikieleza kuwa hatua hiyo itaimarisha usalama na kupunguza hasara inayotokana na uchakavu wa noti na sarafu. Akizungumza leo Jumamosi, Februari 28, 2026 katika mafunzo ya siku mbili kwa waandishi wa habari kutoka…

Read More

Dereva wa bajaji adaiwa kujinyonga

Njombe. Dereva bajaji, Msafiri Sanga (40), amekutwa amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa kuwa alijinyonga, huku chanzo kikitajwa ni wivu wa mapenzi. Hata hivyo, leo Jumamosi Februari, 28 2026 alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga kwa njia ya simu ili kupata taarifa rasmi za tukio hilo, simu yake haikupokewa. Mwili wa Sanga ulikutwa…

Read More

Viongozi wajitokeza maziko ya Kardinali Pengo, Pugu

Dar es Salaam. Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamejitokeza kushiriki mazishi ya Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, yanayofanyika katika Kituo cha Hija ya Bikira Maria, Pugu, jijini Dar es Salaam. Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki,…

Read More

USHAHIDI WA TUNDA LA MTI WA KATI KULIWA NGORONGORO HUU HAPA

Mwaka 1976, Mtafiti wa masuala ya Akiolojia Dr. Mary Leakey aligundua nyayo za zamadamu eneo la Laetoli zilizohifadhika katika mwamba wa jivu la volcano iliyolipuka kwenye milima ya Ngorongoro zaidi ya miaka milion 3.6 iliyopita. Wataalamu wanaamini kuwa nyayo hizo ziliachwa na jamii ya watu wa kale waitwao Australopithecus Afarensis. Nyayo za Zamadamu Laetoli Ngorongoro…

Read More

Raoma, Vodacom Wazindua Mfumo wa Kidijitali ‘SOMO’ Chini ya Kampeni ya Twende Zetu Darasani

Taasisi isiyo ya kiserikali ya RAOMA Foundation kwa kushirikiana na kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania Plc leo wamezindua mfumo mpya wa kidijitali wa elimu unaoitwa SOMO, chini ya kampeni mpya ya Twende Zetu Darasani. SOMO ni mfumo wa kidijitali ulioundwa mahususi na Vodacom Tanzania Plc ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji wa masomo…

Read More