LIVE: Mamia walivyojitokeza Pugu mazishi ya Kardinali Pengo
Dar es Salaam. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika shughuli ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Kinachoendelea Pugu mazishi ya Kardinali Pengo Kardinali Pengo alifariki dunia Februari 19, 2026 katika Hospitali ya Moyo ya Jakaya…