Mitandao Ya Kijamii Inaweza Kukupa Mume, Mke Mwema?

MITANDAO ya kijamii imerahisisha sana mambo. Wapo wanaoitumia vizuri na kuweza kufanikisha mambo mbalimbali ikiwemo biashara na fursa mbalimbali ikiwemo ajira na mambo mengine kadha wa kadha. Katika ulimwengu wa wapendanao, wapo pia wanaoitumia vizuri na kujikuta wakifikia hatua ya kufunga ndoa. Urafiki unaanzia kwenye mitandao ya kijamii, unakua na baadaye unaleta matunda mazuri, ndoa….

Read More

Hizi Hapa Changamoto Za Kuchanganya Mapenzi Na Kazi

NI wiki nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu kwenye ukurasa huu, mada tunayoendelea nayo ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ya namna ya kukabiliana na changamoto za kuchanganya mapenzi na kazi. Jambo la msingi unalopaswa kulitambua, siku zote mapenzi na kazi ni vitu ambavyo havitakiwi kuchanganywa, kama unafanya kazi na mwenzi wako, basi mkiwa kazini ni mfanyakazi mwenzako…

Read More

Meridianbet Kuendeleza Biashara na Mshikamano wa Jamii Dar

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Meridianbet inathibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kwa hatua thabiti ya kutoa msaada wa vyakula na mahitaji muhimu kwa familia zenye uhitaji wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mpango huu ni sehemu ya mkakati mpana wa kampuni kuhakikisha maendeleo ya biashara yanashirikiana kwa karibu na ustawi wa wananchi….

Read More

FCT: UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA

KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza  wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani (FCT) kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma yaliyofanyika leo Februari 27,2026 jijini Dodoma. …… KATIBU Tawala Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Mwajabu Nyamkomora, amesema uwajibikaji na uaminifu ni miongoni…

Read More

DKT.JAFO HAKUNA KULALA: AENDELEZA KAMPENI YA “KILA MTU ATIBIWE KWAO” KISARAWE

Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Mhe.Dkt. Selemani Jafo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha huduma za afya kupitia kampeni yake ya “Kila Mtu Atibiwe Kwao”, inayolenga kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na zahanati ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Akiwa katika ziara ya kuwashukuru wananchi wa Kitongoji cha Kola, Jafo amechangia tofali 1,500 kwa ajili…

Read More

TAKUKURU Lindi Yaokoa Zaidi ya Shilingi Milioni 16

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU Mkoa wa Lindi, imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 16 baada ya kubaini na kuziba mianya ya ubadhirifu katika miradi ya maendeleo na usimamizi wa rasilimali katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025. Kwa Mujibu wa Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoani humo  EMMA ACKIM MWASOGYE alipokuwa anazungumza…

Read More

CMSA:SERIKALI IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

-Katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh.trilioni 4.4 kutoka Sh.trilioni 2.6  Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imesema Serikali imepata mafanikio makubwa kupitika mifuko ya uwekezaji ya pamoja ambapo katika kipindi cha mwaka 2025 imefikisha Sh. trilioni 4.4 ikilinganishwa na Sh.trilioni 2.6 ya mwaka 2024. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Usimamizi…

Read More

KASI YA MRADI WA EACOP YAPONGEZWA NA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI

:::::::::; 📌*Mradi wafikia asilimia 81 huku uchomeleaji wa mabomba ukikamilika kwa asilimia 100* Watumishi kutoka Wizara ya Nishati wamepongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambao umefikia asilimia 81 huku ukifungua fursa nyingi kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa ajira na ujuzi.. Akizungumza Februari 27, 2026, Chongoleani, Tanga,…

Read More