Araqchi: Trump amesaliti diplomasia na watu wa Marekani
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameisaliti diplomasia na watu wa Marekani waliompigia kura akisisitiza kuwa: Wakati uongo mkubwa unapopotosha ukweli wa mambo, maratajio yasiyo ya kweli katu hayawezi kutimizwa. Sayyid Abbas Araqchi ameyasema hayo katika ujumbe uliotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ameashiria…