
Rais Samia, wadau wamlilia Charles Hillary
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki dunia alfajiri ya leo Jumapili Mei 11, 2025 jijini Dar es Salaam. Charles pia aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi wa kituo cha Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023. Alihitimisha muda wake akiwa…