
Tanzania, India kushirikiana kuinua sekta za habari, filamu
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema mkutano wa kwanza wa kimataifa wa masuala ya habari, filamu na burudani (Waves) umeifungulia Tanzania fursa katika kuendeleza sekta za habari, filamu na burudani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Mei 3, 2025 na wizara hiyo, mkutano huo unaendelea jijini Mumbai,…