
Mtunzi ajivunia vitabu vyake kusoma kimataifa kupitia MwanaClick
Dar es Salaam. Ni imani kuwa, mambo yanayohusu vijana yakizungumzwa na vijana wenyewe hueleweka zaidi. Ndivyo anavyoamini Abdulkadir Thabit Massa, hivyo kuwekeza muda wake mwingi kuandika kazi za fasihi zinazohusu vijana. Licha ya kuwapo sera na miongozo inayohusu kundi hilo, bado wenyewe wanapaswa kusimama kueleza wanayokabiliana nayo na kushirikishana fursa na mbinu za kutatua changamoto…