TANZIA: BALOZI RUHINDA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA JUMATATU DAR ES SALAAM
Balozi wa zamani wa Tanzania katika nchi za Canada na Jamhuri ya Watu wa China na mhariri maarufu wa vyombo vya habari nchini, Ndugu Ferdinand Kamuntu Ruhinda, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Ruhinda ambaye alipata kuwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya CCM ya Uhuru na Mzalendo, na yale ya Serikali ya Daily News/Sunday News…