Mshairi nguli Amiri Andanenga afariki dunia, azikwa

Dar es Salaam. Mwanasheria na mwandishi wa vitabu vya riwaya za fasihi za Kiswahili na Kiingereza, Charles Mroka amemuelezea hayati Amir Andanenga kama mtu aliyekuwa na kipaji cha kutunga mashairi. Andanenga aliyekuwa mwanafasihi nguli na mwasisi wa Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (Ukuta) amefariki usiku wa kuamkia leo Mei Mosi, 2024, katika…

Read More