Kigaila: Msigwa aje kulalamika vikaoni
Dar es Salaam. Siku moja baada ya aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kudai kuwa msimamizi wa uchaguzi huo, Benson Kigaila kushindwa kusimamia vema mchakato huo, mwenyewe amemjibu akimtaka awasilishe malalamiko yake katika vikao. Kigaila aliyekuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo uliofanyika Mei 29, 2024 Makambako mkoani Njombe, amesema Chadema haiwezi…