
Sababu Fei Toto kumficha mpenzi
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ni msiri mkubwa katika sekta ya mahusiano na mwenyewe amefunguka sababu ya kufanya hivyo. Fei Toto alisema ameamua kufanya hivyo ili yasiingiliane na kazi yake ya kucheza mpira. “Kiukweli ni mpenzi yupo, lakini huwa sipendi kuweka uhusiano wangu hadharani, kazi yangu haihusiani kabisa na ishu zangu…