Biteko, Nape wanadanganya?

KWA mila na desturi zetu za Kiafrika mkubwa huwa hakosei, ndiyo maana tunasema bosi katoka kidogo siyo katoroka. Meneja  hajafika bado siyo kachelewa na baba hakurudi jana siyo kwamba baba alichepuka. Anaandika Nyaronyo Kicheere (endelea). Kwa mantiki hiyo, sisi watoto wa Kiafrika tuliolelewa vizuri tunakatazwa kusema kwamba mtu fulani mkubwa kasema uongo au kwamba mzee…

Read More