Kauli za Malema zamponza Ramaphosa, Trump aibua ushahidi mauaji

Washington. Ziara ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa nchini Marekani imegeuka shubiri baada ya mwenyeji wake Rais, Donald Trump kuibua vielelezo na ushahidi wa matukio ya mauaji ya wakulima weupe (Afrikaners) waishio Afrika Kusini. Hata hivyo, Rais Ramaphosa pamoja kuonyesha kushtushwa na vielelezo hivyo vya video na picha zilizochapishwa kwenye magazeti, amemuomba Trump kumsaidia…

Read More