
Huu ndio msimamo wa Rungwe kwa makada Chadema
Dar es Salaam. Wakati jinamizi likiendelea kukitikisa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mamia ya wanachama wake wametangaza kukihama chama hicho huku wakitajwa kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Licha ya kwamba wanachama hao hawajaweka bayana chama wanachokwenda kujiunga, duru za ndani zinaeleza kwamba waliokuwa viongozi na wanachama wengine wanakusudia kujiunga na Chaumma kuendeleza…