
Magazeti


Rais Samia kukabidhi tuzo ‘Samia Kalamu Awards’
Dar es Salaam. Tuzo 31 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa waandishi wa habari katika fainali ya Tuzo za ‘Samia Kalamu Awards’, zitakazotolewa Mei 5, 2025 jijini Dar es Salaam. Katika tuzo hizo zitakazozotelewa na Rais Samia Suluhu Hassan, kutakuwa na tuzo za chombo cha habari, mwandishi mwenye mafanikio, mwandishi mahiri ofisa habari bora na habari kuhusu nishati…




Huyu ndiye Rosalynn Mkurugenzi mpya wa Mwananchi
Dar es Salaam. Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), ambayo ni kampuni tanzu ya Nation Media Group (NMG), imetangaza uteuzi wa Rosalynn Mndolwa-Mworia kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa MCL. Rosalynn mwenye uzoefu wa miaka 23 wa kuziongoza sekta za mawasiliano ya simu, usafirishaji, huduma za kifedha na bima, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bakari Machumu…


MCL inavyoimarisha afya, usalama kwa wafanyakazi
Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Afya na Usalama leo Jumatatu, Aprili 28, 2025, Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) imeeleza namna inavyotekeleza kwa vitendo usalama na afya kwa wafanyakazi wake mahala pa kazi. MCL inayojishughulisha na uzalishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na MwanaSpoti, uandaaji wa Jukwaa la Fikra na usafirishaji…

