
Magazeti








TTCL yashindwa kuunganisha faiba mlangoni
Moshi. Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limeshindwa kufikia malengo ya huduma za maunganisho ya faiba mlangoni kwa wateja, baada kuunganisha kwa asilimia saba huku kampuni ya magazeti ya Serikali ikishindwa kuanzisha studio. Katika taarifa ya Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi wa Mashirika ya…


RAIS SAMIA KUTOA TUZO ZA WANAHABARI
.,……………. RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama ‘Samia Kalamu Awards’ zinazohamasisha uandishi wa habari za maendeleo katika nyanja mbalimbali. Tuzo hizo ambazo zimeandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinatarajiwa kutolewa…