
RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wanahabari, maarufu kama Samia Kalamu Awards. Tuzo hizi zinalenga kuhamasisha uandishi wa habari za maendeleo kwa kufanya uchambuzi na utafiti wa kina, kuongeza maudhui ya ndani, kuzingatia weledi, maadili, uwajibikaji wa kitaaluma,…