Kutoka chupa za plastiki hadi vifaa vya ujenzi

Dar es Salaam.  Ni simulizi ya Hellena Silas, mwanzilishi na mkurugenzi wa Kampuni ya Arena Recycling, inayojihusisha na urejelezaji taka za plastiki kutengeneza vifaa vya ujenzi kama matofali na mbao mbadala. Bidhaa hizi zinatumia taka za plastiki na mchanganyiko wa malighafi nyingine. Kinachofanyika ni ushuhuda wa jinsi mawazo ya ubunifu, juhudi na mapenzi ya kweli…

Read More

CMSA YAJIVUNIA MAFANIKIO LUKUKI 2024, THAMANI MASOKO YA MITAJI YAFIKIA TRILIONI 46.7

 MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika mwaka 2024 kumekuwa na mafanikio makubwa ambayo yamewezesha pia thamani ya uwekezaji katika masoko ya mitaji kuongezeka kwa asilimia 24.7 na kufikia Sh.trilioni 46.7 katika kipindi kilichoishia Desemba 2024, ikilinganishwa na Sh.trilioni 37.4 katika kipindi kilichoishia Desemba 2023. Pia thamani ya uwekezaji katika hisa za…

Read More

Museveni atoa kauli Besigye kuendelea kushikiliwa

Rais Yoweri Museveni ameweka wazi msimamo wake kuhusu utata unaozunguka kizuizini kwa Dk Kizza Besigye akisema kuwa swali sahihi siyo kwa nini Dk Besigye alipelekwa rumande, bali ni kwa nini alikamatwa. “Iwapo unataka nchi yenye utulivu, swali sahihi zaidi linapaswa kuwa: Kwa nini Dk Besigye alikamatwa?” Museveni amesema. “Jibu la hilo ni kesi ya haraka…

Read More

Mtangazaji Mbotela wa ‘Huu ni Uungwana?’ afariki dunia

Mwanza. Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtangazaji wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia kwa maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, tovuti ya Kenyans.co.ke imeripoti. Kifo cha Mbotela (85) kimethibitishwa na mke wa mwanaye anayetambulika kwa jina la Anne Mbotela kuwa mwanahabari huyo aliyehusika kuasisi programu mbalimbali za televisheni nchini Kenya amefariki leo Ijumaa Februari 7, 2025. Mbotela…

Read More

Viongozi duniani wamlilia mtukufu Aga Khan IV

Dar es Salaam. Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Mtukufu Aga Khan, anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, alifariki dunia Februari 4, 2025, jijiji Lisbon, Ureno akiwa amezungukwa na familia…

Read More

Buriani, Sheikh Abuu Iddi, mwanazuoni wa aina yake

Alhamisi  Januari 30,  2025 itakumbukwa kuwa siku iliyoacha huzuni kwa wanazuoni, masheikh, wanafunzi wa taaluma za dini ya Kiislamu na Waislamu wa Tanzania kwa kuondokewa na Sheikh Mohamed Iddi Mohamed Husein Kisodya Mahede, maarufu kwa jina la Sheikh Abuu Iddi. Huyu alikuwa mwanazuoni maarufu wa Kiislam na Mratibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa…

Read More

Maswali 10 uraia nyota Singida BS

HATUA ya wachezaji watatu wa Singida Black Stars kutangazwa kupewa uraia wa Tanzania na kuthibitishwa na Idara ya Uhamiaji, imeibua mijadala kuanzia mtaani hadi katika mitandao ya kijamii, huku kukiwa na maswali 10 magumu kutokana na taratibu zilizotumika kuwapa uraia huo. Kabla ya Idara ya Uhamiaji kutoa taarifa hiyo juzi Alhamisi kupitia msemaji wake, SSI…

Read More