
Rais Samia, Ruto, Guterres, Trudeau wamlilia Mtukufu Aga Khan
Mwanza. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha Mtukufu Aga Khan, kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani. Mtukufu Aga Khan anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, alifariki dunia jana Jumanne Februari 4, 2025, jiji Lisbon, Ureno akiwa na umri wa miaka 88. Alifariki akiwa amezungukwa na familia yake. Akitoa salamu…