Magazeti
Zena ashtuka, aonya viongozi wanaowapiga vita wasaidizi wao
Unguja. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amekemea tabia ya watendaji wakuu wa taasisi wenye choyo na kuwapiga vita waliopo chini yao. Akisema moja ya sifa ya kiongozi ni kutambua mawazo mazuri ya walio chini yake, kuyaunga mkono na kuyatafsiri ili yalete mchango katika taasisi na maendeleo ya nchi. Zena…
Malema ajibu mapigo ‘wazee wamekutana Washington kunijadili’
Washington. Baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kumbana Rais Cyril Ramaphosa kuhusiana na tuhuma za kuwepo vitendo vya unyanyasaji na mauaji ya wakulima weupe (Afrikaners) nchini Afrika Kusini, kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema amewakosoa viongozi hao. Jana, Rais Trump katika mazungumzo na Rais Ramaphosa katika Ofisi ya Oval iliyoko…