Malema ajibu mapigo ‘wazee wamekutana Washington kunijadili’
Washington. Baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kumbana Rais Cyril Ramaphosa kuhusiana na tuhuma za kuwepo vitendo vya unyanyasaji na mauaji ya wakulima weupe (Afrikaners) nchini Afrika Kusini, kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema amewakosoa viongozi hao. Jana, Rais Trump katika mazungumzo na Rais Ramaphosa katika Ofisi ya Oval iliyoko…