Waziri Faeser aionya AfD kutumia tukio la Magdeburg kisiasa – DW – 26.12.2024

Watu watano waliuawa na zaidi ya 200 walijeruhiwa wakati gari lilipoendeshwa kupitia umati wa watu katika soko la Krismasi huko Magdeburg, mashariki mwa Ujerumani. Chama cha mrengo wa kulia, Alternative for Germany (AfD), kiliandaa mkutano mjini humo Jumatatu. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani, Nancy Faeser, Jumatano aliitaka AfD isitumie shambulio hilo kwenye soko…

Read More