MCT yaja na mfumo mpya tuzo za Ejat, wadau waujadili

Dar es Salaam. Baraza la Habari Tanzania (MCT) limeahirisha ufunguzi wa dirisha la Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) mpaka Aprili, 2025. Dirisha hilo ambalo hufunguliwa kati ya Novemba na Desemba kila mwaka, limeahirishwa, ili kufanya utafiti wa namna bora za kupata washindi wa tuzo hizo, tofauti na mfumo ulizoeleka. MCT imekuwa ikitoa tuzo…

Read More

Kabudi: Nitafanyia kazi sera ya umiliki vyombo vya habari

Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi ameahidi kushughulikia changamoto za vyombo vya habari na waandishi wa habari, ikiwamo Sera ya Habari na Utangazaji inayotaka mwekezaji wa nje ya nchi kumiliki asilimia 49 na mzawa asilimia 51. Changamoto nyingine ni kuyumba kwa uchumi wa vyombo vya habari, waandishi wa…

Read More