NI VYEMA SHERIA YA HUDUMA YA HABARI ZANZIBAR IKAPITISHWA KABLA YA UCHAGUZI MKUU UJAO.

Na Masanja Mabula, PEMBA. BARAZA la Wawakilishi Zanzibar ndio chombo chenye mamlaka ya kutunga na kuzirekebisha sheria ambazo zinaonekana kupitwa na wakati pamoja na zile kandamizi zinazonyima uhuru wa baadhi ya makundi.  Zipo sheria ambazo Baraza la Wawakilishi limetunga ambazo zinakwaza uhuru wa Habari na uhuru wa kujieleza kama Kifungu cha 30 kinachompa mamlaka makubwa…

Read More

Manula, Samatta kuwakosa Morocco | Mwanaspoti

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametangaza kikosi cha mastaa 24 kitakachoingia kambini kesho Jumamosi, huku nahodha Mbwana Samatta na kipa Aishi Manula wakitemwa kwa sababu tofauti, huku akiwapotezea mastaa watatu wa Singida BS waliobadili uraia. Stars inajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026…

Read More

Wakili ashinda rufaa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imeagiza kusikilizwa shauri la kikatiba lililokuwa limefunguliwa na Paul Kaunda, dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ambalo lilitupwa katika hatua ya pingamizi. Msingi wa shauri hilo ni hatua ya Spika wa Bunge wa wakati huo, Job Ndugai kumrejesha bungeni, mbunge wa Ndanda, Cecil…

Read More

Kutoka chupa za plastiki hadi vifaa vya ujenzi

Dar es Salaam.  Ni simulizi ya Hellena Silas, mwanzilishi na mkurugenzi wa Kampuni ya Arena Recycling, inayojihusisha na urejelezaji taka za plastiki kutengeneza vifaa vya ujenzi kama matofali na mbao mbadala. Bidhaa hizi zinatumia taka za plastiki na mchanganyiko wa malighafi nyingine. Kinachofanyika ni ushuhuda wa jinsi mawazo ya ubunifu, juhudi na mapenzi ya kweli…

Read More

CMSA YAJIVUNIA MAFANIKIO LUKUKI 2024, THAMANI MASOKO YA MITAJI YAFIKIA TRILIONI 46.7

 MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika mwaka 2024 kumekuwa na mafanikio makubwa ambayo yamewezesha pia thamani ya uwekezaji katika masoko ya mitaji kuongezeka kwa asilimia 24.7 na kufikia Sh.trilioni 46.7 katika kipindi kilichoishia Desemba 2024, ikilinganishwa na Sh.trilioni 37.4 katika kipindi kilichoishia Desemba 2023. Pia thamani ya uwekezaji katika hisa za…

Read More