Museveni atoa kauli Besigye kuendelea kushikiliwa
Rais Yoweri Museveni ameweka wazi msimamo wake kuhusu utata unaozunguka kizuizini kwa Dk Kizza Besigye akisema kuwa swali sahihi siyo kwa nini Dk Besigye alipelekwa rumande, bali ni kwa nini alikamatwa. “Iwapo unataka nchi yenye utulivu, swali sahihi zaidi linapaswa kuwa: Kwa nini Dk Besigye alikamatwa?” Museveni amesema. “Jibu la hilo ni kesi ya haraka…