Kosa kubwa mzazi kulinganisha mtoto wako na wengine

Ukiniuliza mimi nitakwambia natamani mtoto wangu awe mwanasayansi wa kwanza wa Kitanzania kugundua sayari nyingine ambayo binadamu tunaweza kuhamia na kuishi kama. Au aanzishe kampuni ambayo itatengeneza roketi na kuratibu usafirishaji wa binadamu kutoka hapa kwenda huko. Na kupitia yote hayo, ashinde ‘Nobel prize’ na tuzo nyingine kubwa kubwa za sayansi, uvumbuzi na biashara. Kupitia…

Read More

Umuhimu wa wanandoa kutunza siri

Kuna busara wakati wa kuwafunda wanawali katika jamii moja nchini Uganda isemayo kuwa wanapoolewa lazima wajifunze kufunga miguu na kufungua macho badala ya kufungua miguu na kufunga macho. Hii hufanyika wakati mwali akijiandaa kwenda kwa mumewe. Wazazi hufanya hivyo kwa kujua kuwa nyumbani kwa mwali huacha kuwa kwao na huko aendako ndiko hugeuka kwake. Hamjasikia…

Read More