Wakili ashinda rufaa kuhusu ubunge wa Cecil Mwambe
Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imeagiza kusikilizwa shauri la kikatiba lililokuwa limefunguliwa na Paul Kaunda, dhidi ya Spika wa Bunge na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ambalo lilitupwa katika hatua ya pingamizi. Msingi wa shauri hilo ni hatua ya Spika wa Bunge wa wakati huo, Job Ndugai kumrejesha bungeni, mbunge wa Ndanda, Cecil…