
WANAFUNZI SUA WANG’ARA TUZO ZA UMAHIRI WA HABARI ZA SAYANSI TANZANIA
Na: Calvin Gwabara – Dar es salaam Wanafunzi watatu wa Shahada ya Uzamili ya Taarifa na Menejimenti ya Maarifa (MIKM) kutoka Idara ya Infomatiki na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (DIIT) ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wameng’ara kwenye tuzo kubwa zinazotambua mchango wa wanahabari kwenye kuandika taarifa za sayansi na bioteknolojia…