Afrika katika magazeti ya Ujerumani – DW – 31.10.2024

 Zeit Online Zeit Online limeangazia tahadhari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kuhusu madhara ya ongezeko la machafuko nchini Sudan. Limemnukuu Guterres akilihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akisema kuwa, wahusika wa vita vya Sudan wanachochea vurugu na mataifa ya kigeni yanauzidisha mzozo. Raia nchini humo wanaishi katikati ya…

Read More