
DC MPOGOLO JINO KWA JINO NA VIJIWE VYA BODA BODA KUTOA HAMASA YA KUJIANDIKISHA
Na Humphrey Shao, Michuzi Tv Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo ameanza ziara ya kata kwa kata katika makazi ya wananchi na vijiwe vya bodaboda, bajaji na masoko kuwaelimisha umuhimu wa kujiandikisha na kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utaofanyika novemba 27 nchini. Mpogolo ameanza ziara yake ya kuhamasisha katika makutano ya…