
TAARIFA KWA UMMA | Mwanaspoti
Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa kufuatia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni zetu za utoaji wa huduma ya maudhui mtandaoni kwa siku 30 kutokana na kuchapisha maudhui yaliyozuiwa yanayokiuka Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni za 2020. Mwananchi Communications Limited (MCL) inaahidi kuwaletea wateja na wasomaji…