Mpoki ateuliwa mhariri Mtendaji Mkuu MCL

KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imemteua Mpoki Thomson kuwa mhariri mtendaji mkuu mpya ili kuimarisha mabadiliko ya kihabari kuelekea mfumo wa kidijitali unaoongozwa na ubunifu na ushirikishaji jamii. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne na Mkurugenzi Mtendaji wa MCL, Rosalynn Mndolwa-Mworia ilieleza kuwa uteuzi wa Mpoki ni sehemu ya safari ya kampuni hiyo kuongoza mageuzi katika…

Read More

Mbinu kuepuka athari hasi za AI kuelekea uchaguzi Mkuu

Dar es Salaam. Wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) wameeleza namna Tanzania inavyoweza kukabiliana na athari hasi za teknolojia ya Akili Unde wakati Taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu. Wataalamu hao waliokuwa wakizungumza katika Jukwaa la kwanza la kitaifa la Akili Unde lililofanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, wametaja…

Read More