HADITHI: Bomu mkononi – 2

Nilipoona mazungumzo yake hayaingii kichwani mwangu nikajidai kumuuliza. “Bidhaa tu za Wahindi.” “Mkifika Dar, kesho mnaondoka tena?’ “Kupatikana kwa mzigo, kama mzigo upo tunaondoka tena.” “Sasa nyinyi mnalala muda gani? Au ndio mnakula mirungi usiku na mchana?” “Tunalala. Kama tunafika hii alfajiri tunasubiri kuche, tunashusha mzigo wa watu halafu narudisha gari, tunakwenda kulala. Kama kuna…

Read More