HADITHI: Bomu mkononi – Sehemu ya kwanza

SIJUI niseme ulikuwa uhuni au ni tamaa ya maisha au ulikuwa ni ujinga, sijui. Tukio hilo nililifanya miaka michache iliyopita wakati huo nikiwa bado msichana mwenye matumaini ya maisha. Kielimu sikuwa nimesoma zaidi ya ile elimu ya kufuta ujinga, yaani kujua kusoma na kuandika. Niliishia darasa la saba tu. Na nilikomea darasa hilo kutokana na…

Read More