KIJIWENI: Mastaa wa Morocco na rekodi za kusisimua kimataifa
MOROCCO kwa sasa inakamilisha maandalizi ya fainali za 35 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika kuanzia Jumamosi ya Januari 5-26, mwakani. Hii ni mara ya pili kwa Morocco kuandaa mashindano haya makubwa kabisa ya kandanda katika Bara la Afrika. Mara ya kwanza ilikuwa 1988 na kukwamia katika nusu fainali baada ya kufungwa 1-0…