BSM, safari ya mafanikio, urithi usiofutika MCL

Bakari Steven Machumu (BSM) ameaga MCL akiwa na urithi mkubwa katika uongozi, uandishi wa habari, na ubunifu.Naam. Rafiki yangu na mwanahabari mwenzangu, Bakari Steven Machumu ambaye anapenda kulifupisha jina lake kwa herufi tatu – BSM, amemaliza safari ya kutukuka kitaaluma, kihabari na kiuongozi katika kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL). Bakari au BSM kama ninavyopenda…

Read More

Yaliyotupa nguvu, yatakayotupa nguvu zaidi kwa miaka mingi ijayo

Msemo wa wahenga unasema: “Kile kisichokuua kinakufanya kuwa na nguvu zaidi.” Msemo mwingine unasema hivi: “Meli bandarini iko salama, lakini haijajengwa kwa ajili ya kubaki bandarini.” Hiyo ndiyo imekuwa safari ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) – kuchunguza, kuthubutu na kushinikiza mipaka, ingawa ndani ya mipaka husika. Katika mchakato huo tulijikuta tukiungua vidole mara kwa mara….

Read More

Machumu: Ukuaji MCL utategemea misingi yake kuendelezwa

Dar es Salaam. Ukiihesabu miaka minne kwa umri wa binadamu, basi ni mtoto anayemudu kutembea, anakimbia na sasa anatamka karibu kila neno. Hicho ndicho kipindi ambacho Bakari Machumu amehudumu nafasi ya mkurugenzi mtendaji katika miaka yake 20 aliyofanya kazi kwenye Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Machumu amekuwa kwenye nafasi hiyo ya juu tangu Aprili…

Read More