
Jaji atumia ‘Ubaya Ubwela’ ya Simba ugomvi wa ndugu wanaogombea jina
Jaji Frank Mahimbali wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga, ametumia msemo wa sasa wa mashabiki wa timu ya Simba wa ‘Ubaya Ubwela’ kufananisha sakata la watoto wawili wa familia moja wanaogombea jina la Kura. Jaji alisema usemi huo unaomaanisha ‘ubaya umerudi tena’, kwa mtazamo wa kwanza, mtu anaweza asithamini suala la uhalifu linalowahusisha wawili hao, wakiwa…