
NJOHOLE: Nilifungiwa kwa kujisaidia uwanjani
Mabadiliko makubwa katika muuondo wa uendeshaji wa soka nchini umekuwa na manufaa makubwa kwa wachezaji wa sasa, hasa wenye fursa za kutoka nje ya nchi tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma enzi za Chama cha Soka Tanzania (FAT) kulikokuwa na mizengwe na ukiritimba mkubwa. Mmoja ya wahanga wa mizengwe na ukiritimba huo, ni Nico Njohole,…