OLIMPIKI 2024: Tumevuna tulichopanda | Mwanaspoti

ACHA niwe mkweli tu, tangu mwanzo binafsi niliamini timu yetu ya Tanzania iliyoshiriki Michezo ya 33 ya Olimpiki huko Paris, Ufaransa iliyomalizika Jumapili ya wiki iliyopita ilikuwa dhaifu sana, kiasi haikuwa na uwezo wowote. Sio tu wa kushinda medali, bali hata ile chembe ya kutia kishindo cha maana kwenye michezo hiyo mikubwa kuliko yote duniani….

Read More