Magazeti

Tanzania Yaimarisha Sekta ya Habari Kupitia Ushirikiano na Wadau – Prof. Kabudi
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa ufunguzi rasmi Mkutano wa Pili wa Mtandao wa Mabaraza Huru…

Utata Sh87 bilioni za mwekezaji Simba
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Heshima wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ usiku wa Julai 14, 2025, alitumia muda huo kuzungumza na Wanasimba na wapenda soka kwa jumla huku akitaja mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya klabu hiyo ikiwemo suala la uwekezaji wake. Mo ambaye hii ni mara ya pili anafanya hivyo katika akaunti…

Rostam Aziz asimulia mageuzi ya tasnia ya habari Tanzania yalivyoanza
Arusha. Mfanyabiashara na mwekezaji, Rostam Aziz amesimulia safari ya tasnia ya habari nchini Tanzania jinsi alivyoshirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali kuifanya kukua na kuimarika zaidi. Rostam ametoa simulizi hiyo leo Jumanne, Julai 15, 2025 katikaMkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na kufunguliwa…

Kumradhi Nehemiah Mchechu | Mwananchi
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen, na Mwanaspoti, inaomba radhi kwa Nehemiah Kyando Mchechu kutokana na makala iliyochapishwa katika toleo Na. 4551 la gazeti la The Citizen Ijumaa la Machi 23, 2018. Tunakiri kuwa habari hiyo ilikuwa na tuhuma ambazo zimebainika kuwa za kudhalilisha dhidi ya Mchechu na ilikuwa…