Mwandishi MCL ashinda tuzo ya Tulia Trust Journalism Awards

Mbeya. Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi mkoani Mbeya, Hawa Mathias ameibuka mshindi wa tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari za ‘Tulia Trust Journalism Awards’ katika kipengele cha afya. Kwenye tuzo hizo ambazo ni za pili kufanyika, mwaka huu jumla ya kazi 90 ziliwasilishwa katika makundi mbalimbali zilizochapishwa au kutangazwa kwenye magazeti, redio,…

Read More