TRA yaendelea na utekelezaji maagizo ya Waziri Mkuu 

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema wanaendelea na utekelezaji wa maagizo yaliyowekwa na Serikali wakati wa kikao cha wadau cha kujadili na kutafuta suluhisho la mgogoro wa wafanyabiashara hasa wale wa kariakoo. Amesema mpaka sasa wamekamilisha utengenezaji wa mifumo miwili ikiwemo wa kutoa nyaraka za manunuzi na wa bei elekezi…

Read More

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo mara baada ya kuwasili kwenye Hospitali hiyo Mpanda tarehe 14 Julai, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza…

Read More