Utafiti wabaini mwamko mdogo uandishi habari za umeme jua

Dar es Salaam. Licha ya juhudi zinazofanyika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi kwa kila sekta, imebainika kuwapo mwamko mdogo wa wanahabari wa Afrika Mashariki kuripoti matumizi bora ya nishati ya umeme jua. Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti kuhusu uchapishaji habari zinazohusu nishati ya umeme jua katika sekta ya…

Read More